RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
KISWAHILI LUGHA YA NNE RASMI KWA NCHI ZA SADC
Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2019 amekabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC ulioanza leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere …
Soma zaidi »MATUKIO YA MKUTANO WA 39 WA WAKUU WA NCHI ZA SADC – DAR ES SALAAM, TANZANIA
LIVE CATCH UP: DHIFA YA KITAIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS MAGUFULI KWA AJILI YA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA
LIVE: ZIARA YA SIKU 2 YA RAIS MATAMELA CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI NCHINI TANZANIA
RAIS MAGUFULI: TUTAZIDI KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NA AFRIKA KUSINI
Rais Dkt. John Magufuli amesema Tanzania itazidi kufungua milango ya ushirikiano na Jamhuri ya Afrika Kusini na kuwataka Wafanyabiashara na Wawekezaji wa nchi hizo kutumia fursa za vivutio mbalimbali vilivyopo ili kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi wa Mataifa hayo. Akizungumza leo Alhamisi (Agosti 15, 2019) Ikulu Jijini Dar es …
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA UN WOMAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amelitaka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Wanawake Duniani (UN WOMAN) kuandaa Tathmini ya kinchi kuhusiana na Kongamano la Beijing. Amesema ni Vyema kuwepo na uwezekano wa kuweza kuandaa Tathmini ya uhakika itakayoweza kuonesha hali halisi ya …
Soma zaidi »