IKULU

RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 06 Julai, 2019 amerejea nchini Kenya baada ya kumaliza ziara yake binafsi ya siku 2 aliyomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Kabla ya kuruka katika uwanja …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA UJIO WA RAIS KENYATTA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwa Rais wa kwanza wa nje kutembelea Wilaya ya Chato. Amesema kuwa ukiachilia mbali ujirani uliopo baina ya Tanzania na Kenya, pia kuna undugu kwa kuwa tunazungumza lugha moja, tunamuingiliano wa kijamii ikiwemo kuoana …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWAPONGEZA WANANCHI WA CHATO KWA KUCHAPA KAZI NA KUJILETEA MAENDELEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza wananchi wa Chato Mkoani Geita kwa kuitikia wito wa Serikali wa kuongeza juhudi katika kazi za uzalishaji mali hali iliyoiwezesha Wilaya hiyo kupiga hatua kubwa za kimaendeleo. Mhe. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo tarehe 01 Julai, …

Soma zaidi »