Makamu wa Rais

BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …

Soma zaidi »

LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE TANZANIA BARA. IKULU DSM

Rais Dkt. john Pombe Maguduli anakutana na kuzunguma na Watendaji wa Kata kuotka katika Mamlaka ya Serikali za kata zote Tanzania Bara katika Bustani za Ukumbi wa Kikwete Ikulu JijininmDar es salaam ikiwa ni kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru kushuhudia Watendaji wa Kata wakiingia Ikulu kwaajili ya kuzungumza …

Soma zaidi »

TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali …

Soma zaidi »

WAZIRI SIMBACHAWENE AIELEZEA YA KAMATI BUNGE MCHAKATO WA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA

Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo Agosti 27, 2019 imewasilisha taarifa zake mbili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma. Taarifa zilizowasilishwa ni ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yanayohusiana na majukumu ya Wizara yaliyotokana na Mapendekezo ya Kamati hiyo katika …

Soma zaidi »