RAIS DKT MAGUFULI ATOA SHILINGI MILIONI 10 KUISAIDIA TIMU YA TAIFA YA SOKA YA WALEMAVU (TEMBO WARRIORS) KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI ANGOLA MWEZI UJAO
BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WAFUNGUA JENGO LA TAASISI YA MWL. NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM
LIVE CATCH UP:RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA MWALIMU NYERERE FOUNDATION NA KONGAMANO LA KUMBUKIZI LA BABA WA TAIFA
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE TANZANIA BARA. IKULU DSM
Rais Dkt. john Pombe Maguduli anakutana na kuzunguma na Watendaji wa Kata kuotka katika Mamlaka ya Serikali za kata zote Tanzania Bara katika Bustani za Ukumbi wa Kikwete Ikulu JijininmDar es salaam ikiwa ni kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru kushuhudia Watendaji wa Kata wakiingia Ikulu kwaajili ya kuzungumza …
Soma zaidi »TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali …
Soma zaidi »LIVE: AFRICAN LEADERSHIP FORUM, IKULU JIJINI DSM
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wahudhuria Mkutano wa African Leadership Forum Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Mkutano huo pia unaudhuriwa na Marais wastaafu kutoka Nigeria,South Africa na Somalia.
Soma zaidi »WAZIRI SIMBACHAWENE AIELEZEA YA KAMATI BUNGE MCHAKATO WA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo Agosti 27, 2019 imewasilisha taarifa zake mbili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma. Taarifa zilizowasilishwa ni ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yanayohusiana na majukumu ya Wizara yaliyotokana na Mapendekezo ya Kamati hiyo katika …
Soma zaidi »