Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan akisoma maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini kutoka kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimaji Wadogo (FEMATA) Ndugu John Binna (kushoto) akimkabidhi maadhimio ambayo yamejumuisha maoni na mapendekezo ya kuboresha biashara na shughuli za uchimbaji madini kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko (katikati), kulia Makamu wa Rais akishuhudia makabidhiano hayo mara baada ya Mkutano Mkuu wa Kisekta ulioandaliwa na Wizara ya Madini kukamilika.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri Dotto Biteko akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini ulioandaliwa na Wizara ya Madini ambapo wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini walikutana kwa siku mbili katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan akipokea maadhimio ya wachimbaji wadogo, wafanyabiashara na wadau wa madini kutoka kwa Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko mara baada ya kufunga Mkutano Mkuu wa Kisekta wa Madini uliofanyika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.