Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Juma, akizungumza katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.Ibrahim Juma, katika hafla ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam.
Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu Wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Mustapha Kambona Ismail Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kerefu Sameji Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu Wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam.Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman Jaffo, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini mara baada ya kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu,Watumishi mbalimbali wa Mahakama mara baada ya kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam.