Taarifa Vyombo vya Habari

WAKAZI WA MOROGORO WARIDHIA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA SUKARI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameridhika na uwekezaji wa kilimo cha miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari katika kata ya Mvuha iliyopo Morogoro Vijijini ambapo kampuni ya Morogoro Sugar inataraji kuwekeza. Akizungumza wakati wa mkutano wa Madiwani na Wenyeviti wa Vijiji tisa vilivyopo …

Soma zaidi »

ALMASI KUBWA YAPATIKANA MKOANI SHINYANGA

Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita. Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari  tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa ndani ya nchi …

Soma zaidi »