Taarifa Vyombo vya Habari

MAKAMU WA RAIS AZINDUA RIPOTI YA MAZINGIRA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua ripoti ya hali ya Hali ya Mazingira nchini Tanzania ambapo ripoti hiyo imetaja sababu mbalimbali ikiwemo ya kasi ya ongezeko la watu na ukuaji wa maendeleo unachangia kwa sehemu kubwa uharibifu wa mazingira. Akizungumza  Mei 6,2019 wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo uliofanyika …

Soma zaidi »

IFIKAPO JUNI 30,MITAA YOTE YA MAJIJI IWE IMESAMBAZIWA UMEME – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa ifikapo tarehe 30 Juni, 2019, mitaa yote isiyo na umeme katika Majiji yote nchini iwe imesambaziwa umeme. Dkt Kalemani aliyasema hayo tarehe 5 Mei, 2019, mara baada ya kufanya ziara katika maeneo mbalimbali jijini …

Soma zaidi »

KIWANDA CHA RUAHA MILLING COMPANY MKOMBOZI KWA WAKULIMA WA ZAO LA MPUNGA NYANDA ZA JUU KUSINI

Kiwanda cha Ruaha milling company kuchakata mpunga kilichopo mkoani iringa kimetajwa kuwa mkombozi kwa wakulima wa zao la mpunga ambalo limekuwa likilimwa kwa wingi katika wilaya ya Iringa na mkoa wa mbeya. Akiwa ametembelea kiwanda hicho naibu meya manispaa ya Iringa,Joseph Ryata alisema kuwa kiwanda hicho kimejengwa kwa kiwango cha …

Soma zaidi »

TUONGEZE JUHUDI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA – RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE

Rais Mstaafu, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi yake kama mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End malaria Council) alialikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha 20 cha mawaziri wa afya wa shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika magharibi – ECOWAS. Kikao hicho kiliendeshwa chini ya chombo maalum …

Soma zaidi »

UJERUMANI YATOA MSAADA WA SH. BILIONI 330 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI MKOA WA SIMIYU

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya  Maendeleo (KfW), imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 127.7, sawa na sh. bilioni 330, kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji safi na salama kutoka Ziwa Victoria katika mkoa wa Simiyu. Makubaliano ya msaada huo kupitia …

Soma zaidi »