DKT. PHILIP MPANGO: TANZANIA KUTETEA MASLAHI YAKE KATIKA MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA IMF-WASHINGTON DC
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mikutano ya kipupwe(Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayofanyika mjini Washington DC, Marekani. Akizungumza kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Mjini Washigton DC, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AMEZINDUA KIWANDA CHA CHAI CHA UNILEAVER KABAMBE KILICHOPO MKOANI NJOMBE
LIVE: BUNGE-HATI ZAWASILISHWA MEZANI
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI- CAG WAZIRI MKUU WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI) WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA) MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI …
Soma zaidi »LIVE:ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI NJOMBE
LIVE:KUTOKA SWEDEN MKUTANO WA UWEKEZAJI
MHANDISI LUHEMEJA AANZA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI 41 YA DAWASA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja ameanza ziara ya wiki moja ya kutembelea miradi 41 ya mamlaka hiyo inayoendeshwa kwa fedha za ndani. Ziara hiyo itakayokuwa ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani itaangalia tathmini ya miezi sita …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZINDUA KITUO CHA AFYA CHA MADABA
TRC YAJIVUNIA UBORA WA MIUNDOMBINU
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania TRC Masanja Kadogosa amesema shirika lake limepunguza ajali kubwa za treni kwa asilimia miamoja katika kipindi cha miaka mitatu na nusu na kwamba wanakusudia kuziondoa kabisa hata ajali ndogo kwa kuimarisha miundombinu ya reli. Bw. Kadogosa alisema hatua hiyo inatokana na kuimarisha miundombinu ya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA MAABARA YA KISASA YA MAFUNZO
Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile amezindua maabara ya kisasa itakayotoa mafunzo kwa vitendo kwa wataalamu wa huduma za usingizi na dharura, MUHAS
Soma zaidi »