WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

WAZIRI
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi, akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier, walipokutatana kwa mazungumzo kwa katika ofisi ya wizara Dodoma.Katika mazungumzo hayo, Tanzania na Ufaransa zimekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo kilimo cha zabibu, uzalishaji wa mvinyo na mauzo yake nje ya nchi.
WAZIRI KABUDI
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi, akisisitiza jambo alipokuwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Mheshimiwa Frédéric Clavier.

Unaweza kuangalia pia

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.