Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahimiza watu wenye ulemavu kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua kiuchumi. Makamu wa Rais ameyasema hayo kwenye hafla ya utoaji tuzo ya I CAN kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Taasisi ya Dkt. Reginald Mengi Foundation, iliyofanyika leo …
Soma zaidi »UJENZI WA TERMINAL III WAFIKIA ASILIMIA 95
RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA ASKARI MAGEREZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), unaoanzia Dar es Salaam hadi Morogoro yenye urefu wa KM 300 na kusisitiza kuwa Bunge litaendelea kupitisha fedha za mradi huo hadi utakapokamilika kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Mwenyekiti wa Kamati …
Soma zaidi »ZANZIBAR KUTOA USHIRIKIANO KWA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohamed Said amesema Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano kwa shirika la nguvu za atomiki Dunia ili kukuza na kuimarisha teknolojia ya utumiaji wa mionzi. Ameyasema hayo katika mkutano wa pamoja na ujumbe wa shirika la Nguvu za Atomic Duniani (IAEA) kanda …
Soma zaidi »UJENZI WA GATI JIPYA (RO-RO) KWA AJILI YA MAGARI UNAENDELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
MIRADI 1,659 YA MAJI YAKAMILIKA
Huduma za Maji Mijini na Vijijini: Miradi 65 imekamilika na kufanya jumla ya miradi yote iliyokamilika kufikia 1,659 na vituo vya kuchotea maji kuongezeka hadi 131,370 na kuhudumia wananchi 25,359,290. Upatikanaji wa huduma za maji Jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 85, katika mikoa mingine asilimia 80, miji midogo asilimia …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI UGANDA
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli pamoja na wasaidizi wake imeamua kufanya kazi kwa bidii sana kukuza uchumi wake. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati alipokutana na Viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Uganda katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort jijini …
Soma zaidi »ENG.MFUGALE – UWANJA TUNAOJENGA DODOMA UTAKUWA NA UWEZO WA KUCHUKUA WATAZAMAJI 85,000 NA 100,005
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Machi, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Urusi ulioongozwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Urusi katika masuala ya Afrika ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe. Mikhail Bogdanov, Ikulu Jijini …
Soma zaidi »TAARIFA MUHIMU KUTOKA TANESCO
• INAHUSU UFAFANUZI WATAARIFA ZILIZOTOLEWA MTANDAONI KUHUSU: – TATIZO LA KUKATIKA MARA KWA MARA UMEME MKOANI RUVUMA – BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa ufafanuzi Juu ya taarifa iliyotolewa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO imesikitishwa na matumizi madogo ya …
Soma zaidi »