Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameipongeza Serikali kwa kuunganisha umeme wa gridi ya Taifa mkoani humo, ambao umebadili hali ya maisha ya wananchi husika kutoka kwenye uduni na kuwa bora zaidi. Alikuwa akieleza hali ya upatikanaji umeme mkoani Ruvuma kwa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani na Ujumbe …
Soma zaidi »NHIF YATAJWA KUCHANGIAMAGEUZI SEKTA YA AFYA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetajwa kuwezesha mageuzi yenye tija katika sekta ya afya katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano Akizungumza waandishi wa habari leo, Desemba 12, 2019 Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Bernard …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AZINDUA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS, AWEKA MKAKATI WA SOKO LA UHAKIKA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za ngozi, Wilaya hiyo imejipanga kuwatafutia maeneo wazalishaji wa ndani ambapo wote watakaa sehemu moja kwa ajili ya uzalishaji na uuzaji wa bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonesho …
Soma zaidi »OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPATA TUZO YA UANDAAJI BORA WA HESABU ZA FEDHA KWA MWAKA 2018
JOSHUA NASSARI AONGOZA WAWEKEZAJI TOKA CHINA KUANGALIA FURSA TANZANIA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Joshua Nassari leo tarehe 11 Desemba,2019 ameongoza kundi la wafanyabiashara wapatao kumi kufika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Wageni hao wamefika kutoka jimbo la Hebei, China ambao wameonesha nia ya kuwekeza nchini kwenye miradi mbalimbali ya kuanzisha. Viwanda hivyo ni pamoja na kiwanda cha …
Soma zaidi »MWADUI WAPEWA MWEZI MMOJA KUUZA ALMASI SOKO LA NDANI
Uongozi wa Mgodi wa Diamond Williamson (Mwadui) unaozalisha madini ya Almasi uliopo mkoani Shinyanga wilayani Kishapu umeagizwa na kupewa muda wa mwezi mmoja hadi kufikia Januari 2020 kuanza kuuza 5% ya Almasi yote inayozalishwa katika mgodi huo kwenye soko la ndani hususani soko la Kishapu huku wazawa wakipewa fursa ya …
Soma zaidi »GWAJIMA ASISITIZA UZALENDO, MAPITIO YA SERA YA UGATUAJI WA MADARAKA
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya, OR-TAMISEMI Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wakurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara zote kutanguliza uzalendo katika kufanya mapitio ya Sera ya Kitaifa ya Ugatuaji wa Madaraka. Dkt. Gwajima ameyasema hayo mapema leo wakati wa kufungua kikao kazi cha Wakurugenzi wa Wizara zote wa Sera na …
Soma zaidi »TUNA VIFAA VYA UMEME VINGI VYA KUTOSHA – DKT KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika mikoa yote, kutowaambia wananchi kuwa kuna uhaba wa vifaa vya kuunganishia umeme kwani vilivyopo idadi yake ni kubwa kuliko matumizi ya nchi. Aliyasema hayo wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya …
Soma zaidi »KINONDONI YA ANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kuhakikisha tunakuza uchumi wa Viwanda, Wilaya hiyo imeandaa maonesho ya wajasiriamali wa bidhaa zangozi yatakayofanyika Disemba 12 hadi 15 katika viwanja vya Tanganyika Packers. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mhe. Chongolo amesema kuwa maonesho hayo ambayo yata ambatana …
Soma zaidi »