OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPATA TUZO YA UANDAAJI BORA WA HESABU ZA FEDHA KWA MWAKA 2018 Matokeo ChanyA+ December 12, 2019 Makamu wa Rais, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 626 Imeonekana Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akipeana mkono na Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Pascal Karomba wakati wa makabidhiano ya Tuzo ya Uandaaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2018 ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais imeshika nafasi ya tatu. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA). Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wahasibu mara baada ya kukabidhi tuzo hiyo Ofisini kwake jijini Dodoma. Tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA). Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest