Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Shinyanga tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 5. Makamu wa Rais ambaye amesafiri kwa njia ya barabara akitokea mkoani Tabora ambapo napo alikuwa na ziara yenye lengo la kuhamasisha na kukagua shughuli za kimaendeleo. …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA
TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA SITA BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI NCHI NANE WATUMIAJI WA MAJI MTO ZAMBEZI
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa sita wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa nchi nane la watumiaji wa maji wa mto Zambezi utakao fanyika mnamo Februari 28 mwaka huu jijini Dar Es Salaam. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarara wakati akiongea katika kikao cha waandishi …
Soma zaidi »KILUWA YATENGA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 150,KUJENGA KIWANDA CHA MABEHEWA NCHINI
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, ikidhamiria kuinua uchumi kwa kutumia miundombinu ya usafirishaji, wadau wa maendeleo wamekuwa wakitumia fursa zilizopo kunufaisha watanzania. Miongoni mwao ni Mkurugenzi wa Makampuni ya Kiluwa Group, Mohamed Kiluwa ambaye amedhamiria kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mabehewa ya treni yaliyochakaa …
Soma zaidi »UJENZI MJI WA SERIKALI MBIONI KUKAMILIKA
NAIBU WAZIRI NISHATI AKERWA NA MKANDARASI MBABAISHAJI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amekemea vikali utendaji kazi mbovu wa Mkandarasi State Grid, anayetekeleza mradi wa umeme vijijini Mkoa wa Lindi, kutokana na kufanya kazi chini ya kiwango na kutokamilisha wigo wake kwa wakati kama mkataba unavyoelekeza. Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nangambi Naipuli, Kata ya Mingumbi, …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY AWAPONGEZA WAWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA – KIBAHA
Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema katika kila Sh. 100 ambayo Serikali inatumia kununua dawa nchini, Sh. 94 inapelekwa nje ya nchi kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo. Waziri Ummy alisema hayo jana wilayani Kibaha, Pwani wakati wa ziara yake ya kutembelea na …
Soma zaidi »NCHI ZA MASHARIKI MWA AFRIKA ZA DHAMIRIA KUIMARISHA UCHUMI KWA KUUZIANA UMEME
Nchi zilizopo Mashariki mwa Afrika, zimedhamiria kwa nia moja kuimarisha uchumi wao kwa kuuziana umeme kupitia mifumo ya kusafirisha nishati hiyo, iliyounganishwa katika ukanda husika. Hayo yalibainishwa Februari 21 mwaka huu, katika Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri wanaohusika na umeme kutoka nchi za ukanda huo, ambazo zimeunganishiwa mifumo …
Soma zaidi »UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WILAYA YA IGUNGA UMEFIKIA ASILIMIA 58
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Tabora ambapo atatembelea Wilaya zote saba (7) za Igunga, Nzega, Uyui, Sikonge, Kaliua, Urambo na Tabora. Akiwa wilayani Igunga Makamu wa Rais alipokea taarifa ya utekelezaji ya mkoa liyosomwa na Mkuu wa mkoa huo Mhe. Aggrey Mwanri …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI TABORA
Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Tabora ambapo atatembelea Wilaya zote saba (7) za Igunga, Nzega, Uyui, Sikonge, Kaliua, Urambo na Tabora . Lengo la ziara ni kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ili kujionea utekelezaji …
Soma zaidi »