MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA MAZINGIRA MKOANI TABORA

Screen Shot 2019-02-25 at 3.32.21 PM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano la Mazingira lililoratibiwa na Ofisi ya Mazingira kutoka Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora katika ukumbi wa Mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi Tabora.
Screen Shot 2019-02-25 at 4.33.55 PM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti mkoani Tabora kwa heshima ya Mhe. Samia Suluhu Hassan.
MNARA
Picha ya Mnara wa Uzinduzi wa Upandaji Miti Mkoani Tabora ulionzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano la Mazingira lililoratibiwa na Ofisi ya Mazingira kutoka Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora katika ukumbi wa Mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi Tabora.
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano la Mazingira lililoratibiwa na Ofisi ya Mazingira kutoka Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora katika ukumbi wa Mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi Tabora.
MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano la Mazingira lililoratibiwa na Ofisi ya Mazingira kutoka Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora katika ukumbi wa Mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi Tabora.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.