Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuimarisha mfumo madhubuti wa kikatiba na kisheria ili kufanikisha utekelezaji wa sera na mipango kwa maendeleo ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) alipokuwa akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya …
Soma zaidi »LIVE: BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mkutano wa 15, Kikao cha 13
Soma zaidi »SERIKALI YASHUSHA GHARAMA ZA URASIMISHAJI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia sasa gharama za urasimishaji haitazidi shilingi 150,000 badala ya 250,000 iliyopangwa awali na makampuni yatakayoenda kinyume yatachukuliwa hatua ikiwemo kufutwa. Lukuvi alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Makampuni ya Upangaji na Upimaji yanayofanya kazi …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU
SERIKALI YAANZA MAZUNGUMZO NA NCHI ZA MISRI NA ALGERIA KUANDAA MAKUBALIANO YA KUUZA TUMBAKU YA TANZANIA
Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeanzisha mazungumzo na nchi wanachama wa COMESA na nchi kama Misri na Algeria kupitia balozi zake ili kuandaa Makubaliano Maalum (Bilateral Agreement) yatakayoiwezesha Tanzania kupeleka tumbaku …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI ASISITIZA TAASISI ZA UMMA VIJIJINI ZIWEKEWE UMEME
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuwasimamia wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchi nzima, kuhakikisha wanatoa kipaumbele cha kuunganisha umeme kwa taasisi zote za umma zilizo katika maeneo yao. Alitoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti jana, Aprili 16, 2019 akiwa katika …
Soma zaidi »TANZANIA NA CHINA ZAJADILI USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA
JAPAN KUIPIGA JEKI TANZANIASHILINGI BILIONI 794 KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO
Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa-JICA inakusudia kuipatia Tanzania mkopo nafuu pamoja na ruzuku wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 345 za Marekani, sawa na takriban shilingi bilioni 794, kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo ukarabati wa barabara ya Arusha hadi Holili, …
Soma zaidi »OFISI YA WAZIRI MKUU YAHAMIA RASMI MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA
TANZANIA YARIDHIA AfDB KUONGEZEWA MTAJI
Tanzania imeunga mkono uamuzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB wa kutaka kuongezewa mtaji ili iweze kutekeleza majukumu yake ya kutoa mikopo kwa nchi wanachama wa benki hiyo kwa lengo la kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wa 7 wa magavana wa ambao …
Soma zaidi »