“Nawaomba wananchi wa Morogoro na Watanzania kwa ujumla kutambua kwamba maendeleo haya ni sehemu ya mkakati wetu wa kujenga Tanzania ya viwanda na yenye uchumi imara.” @SuluhuSamia
Soma zaidi »Shukrani za Madeleva Bajaji kwa Rais Samia na Serikali kwa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR
Morogoro, Tanzania – Madeleva bajaji wa mkoani Morogoro wameeleza shukrani zao za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla kwa juhudi kubwa za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Reli hii, ambayo imekuwa mojawapo ya miradi mikubwa ya maendeleo nchini, imeleta manufaa mengi kwa wananchi na …
Soma zaidi »Mtalii Raia wa Sweden Avutiwa na Ubora wa Treni ya Kisasa ya SGR Nchini Tanzania
“Ni treni ya kisasa kabisa na tunajisikia vizuri (‘comfortable’) kutumia aina hii ya usafiri. Ina mwendo wa kasi iko ‘comfortable’ na ina huduma nzuri wakati wa safari. Kitu kizuri na cha kufurahisha zaidi, ni treni nzuri zaidi kuzidi hata zile za kwetu nyumbani Ulaya ( Sweden) treni hii ni nzuri …
Soma zaidi »WANANCHI WA MOROGORO WAPONGEZA MAENDELEO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wamepongeza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wao. Wamesema kuwa ujenzi wa treni ya kisasa (SGR) umeleta matumaini mapya ya ukuaji wa uchumi na urahisi wa usafiri. Aidha, wamefurahia kujengwa kwa hospitali za kisasa ambazo zimeboresha huduma za afya, …
Soma zaidi »WANANCHI WA MOROGORO WAFURAHIA MAENDELEO YA MRADI WA TRENI YA SGR
Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wameelezea furaha yao kuhusu maendeleo ya mradi wa treni ya kisasa (SGR). Wamesifu jitihada za serikali katika kutekeleza mradi huo, ambao utafungua fursa nyingi za kiuchumi na kijamii katika mkoa wao na nchi kwa ujumla. Wameeleza kuwa treni ya SGR itarahisisha usafiri wa abiria na …
Soma zaidi »MACHINGA MKOANI MOROGORO WASIMAMA NA RAIS KATIKA UJENZI WA TAIFA DHIDI YA WAPINGA MAENDELEO YA NCHI
Wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) mkoani Morogoro wameonyesha mshikamano wao na Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi za kujenga taifa. Wamejitokeza kwa wingi kuunga mkono miradi ya maendeleo na sera za serikali, wakikemea vikali wale wanaopinga juhudi za kuleta maendeleo nchini. Machinga hao wamesisitiza kuwa wako tayari kushirikiana na serikali katika …
Soma zaidi »WANANCHI WATOA SHUKURANI KWA SERIKALI KWA MAENDELEO YA SGR NA UJENZI WA SOKO KUU LA CHIFU KINGALU
Wananchi wa Morogoro wameonyesha shukurani zao kwa serikali kwa juhudi za maendeleo, hasa katika ujenzi wa reli ya SGR na soko kuu la Chifu Kingalu. Ujenzi wa SGR umeleta matumaini mapya kwa wananchi kwa kuboresha miundombinu na usafiri, hivyo kurahisisha shughuli za kibiashara na kuongeza fursa za ajira. Aidha, ujenzi …
Soma zaidi »“Mhe Rais nikupe habari njema…..”
“Mhe Rais nikupe habari njema; picha yako hiyo.. (picha ya Rais Dkt. Samia akiwa katika chumba Maalum cha kuokolea maisha watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kiafya, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi 14/07/2024), Mhe Rais picha yako hiyo imenipa (Wizara ya Afya) ahadi ya kupata Dola za …
Soma zaidi »“Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuchangia katika ujenzi wa taifa letu, hakuna nafasi ya kukaa bila kufanya kazi.”
@SuluhuSamia#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC#SamiaSuluhuHassan#ChamaChaMapinduzi#PhilipMpango#wizarayaafya#wizarayaujenzi
Soma zaidi »WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa za elimu ya juu kwa kada hiyo. “Serikali imefanya upanuzi wa taasisi za mafunzo ya afya ili kuongeza idadi ya wahitimu. Taasisi hizo ni pamoja na vyuo …
Soma zaidi »