Tanzania MpyA+

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI NCHINI WINGEREZA KUHUDHURIA MAZISHI YA MALKIA ELIZABETH II

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na muwakilishi wa Mfalme Charles III, Bi. Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo, Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya …

Soma zaidi »

BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA TANI 110,000 ZA MAKAA YA MAWE KWA MWEZI KUPELEKA ASIA NA ULAYA

 Chama cha uchimbaji madini cha Bonde la Ufa kwa kushirikiana na wawekezaji kutoka Afrika Kusini na Uingereza wanatazamiwa kutumia Bandari ya Mtwara kusafirisha tani 110,000 za makaa ya mawe kwa mwezi katika bara la Asia naduniani koteMkurugenzi wa Jumuiya hiyo, FahadMkaandamu alibainisha hayo hivi karibuni, na kusema kuwa chama hicho …

Soma zaidi »

WAZIRI MAKAMBA AELEZA MAFANIKIO YA SEKTA YA NISHATI NA MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ametaja mafanikio mbalimbali ya Sekta ya Nishati yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan. Mafanikio hayo aliyataja tarehe 24 Machi, 2022 wakati akizungumza na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari na wanazuoni …

Soma zaidi »