HISTORIA YAANDIKWA; JNHPP YAINGIZA MEGAWATI 235 GRIDI YA TAIFA.
✔️Serikali yatekeleza ahadi kabla ya siku tatu ✔️Megawati 235 nyingine kuingizwa Machi, 2024 ✔️Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ✔️Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa ✔️Mkandarasi apongeza usimamizi wa Dkt.Biteko
Soma zaidi »DARAJA LA KIGONGO – BUSISI: UJENZI MPYA WA KUVUKA ZIWA VICTORIA KULETA MABADILIKO MAKUBWA TANZANIA
Daraja la Kigongo – Busisi, lenye urefu wa kilometa 3.2, linalojengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, linajitokeza kama mradi wa kuvutia wa miundombinu nchini Tanzania. Mradi huu wa ujenzi wa daraja umekuja kuleta mabadiliko makubwa katika eneo hilo la Kigongo – Busisi, na unatarajiwa kuchangia sana katika kuimarisha miundombinu ya …
Soma zaidi »Maji Safi ni Kijiji kwa Kijiji: Mafanikio na Maendeleo ya Miradi ya Maji Vijijini nchini Tanzania (Julai hadi Desemba 2023)
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi, hususan wale wanaoishi vijijini. Katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2023, serikali imeripoti mafanikio makubwa katika kuleta huduma bora za maji kwa vijiji vyetu. Hapa ni muhtasari wa maendeleo …
Soma zaidi »WATAALAMU WA GST WAENDELEA NA UTAFITI WA MADINI PEMBA: KUKUZA MAENDELEO ENDELEVU KATIKA SEKTA YA MADINI
Katika utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano (MoU) kati ya Wizara ya Madini Tanzania Bara na Wizara ya Nishati, Maji na Madini ya Zanzibar, timu ya wataalamu kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendelea na shughuli za utafiti katika Visiwa vya Pemba. Utafiti huo unalenga kuchunguza rasilimali …
Soma zaidi »Tumekuta zana mbalimbali ambazo zinatupeleka kugundua Watoto zaidi ya 200 hawafundishwi maadili mema
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Halima Okash ameagiza kufungwa kwa Taasisi ya Mango Kinder iliyopo Kata ya Dunda Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya kituo hicho kukiuka utaratibu wa leseni yake ya kutoa haki kwa Watoto na badala yake kuwakusanya Watoto zaidi ya 200 na kuwapa elimu juu ya masuala …
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la wa jengo la Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA). Ujenzi wa jengo hilo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 6.17 na linatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 2025.
SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MTAALAM WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE UALBINO
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya mazungumzo na Mtaalam wa kujitegemea wa masuala ya haki za Watu wenye Ualbino kutoka Umoja wa Mataifa (UN Independent Expert on the Enjoyment of rights by Persons with Albinism), Bi. Muluka-Anne …
Soma zaidi »Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe Dkt. Wilson Charles Mahela ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kwa lengo la kupitia andiko la Lishe kwa ajili ya mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika. #Matokeochanya+
USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UTATEGEMEA NA UBORA WA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Zanzibar, Mhe. Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya ufunguzi ya Kongamano la Wadau kuhusu kukusanya maoni ya marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 lililofanyika Hoteli ya Golden Tulip mjini Zanzibar tarehe 05 Februari 2024. Waziri wa Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »