KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA PURA KWA KUOKOA TSHS BILIONI 10 ZA PSAs
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kuokoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.08 kutokana na kaguzi za gharama na mapato ya mikataba ya Mafuta na Gesi Asilia nchini (PSAs). Pongezi hizo wamezitoa tarehe 25 Oktoba, 2019 …
Soma zaidi »NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI AZERBAIJAN
Waziri Mkuu Kassim Majaliwwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha na Taasisi na Wizara husika ili waweze kuwekeza mitaji yao kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Ametoa agizo hilo jana (Alhamisi, Oktoba 24, 2019) baada ya kugundua uwepo wa …
Soma zaidi »LIVE: KONGAMANO MAALUM:VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA HATMA YA MAENDELEO AFRIKA
LIVE: MAKAMU WA RAIS KATIKA UFUNGUZI WA KIKAO CHA MAWAZIRI WA MALIASILI, UTALII NA MAZINGIRA WA NCHI WANACHAMA WA SADC
WAZIRI LUKUVI AAGIZA WANANCHI WOTE KULIPWA FIDIA AMBAO BADO HAJALIPWA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameziagiza Halmashauri za Miji pamoja na watu wenye mashamba makubwa wahakikishe wanawalipa fidia Wananchi wote ambao hawajalipwa kwa muda mrefu tangu kufanyika kwa tathmini kwani wananchi wengi wamekuwa wakiishi ndani ya mashamba yao kwa muda mrefu na wakiamishwa hawalipwi …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUWATUMIA IPASAVYO WATAALAM SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Suleiman Jafo ameagiza Wizara yake kuhakikisha wataalam wa sekta ya maendeleo ya jamii wanapewa jukumu la kusimamia kazi ya Bima ya Afya ya Jamii (CHF) Iliyoboreshwa katika ngazi ya Mkoa na Halmashauri kwa kuwa ndio wenye utaalam …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN
MATUMIZI YA TEHAMA YAMEIMARISHA USALAMA WA TAARIFA NA HUDUMA ZA SERIKALI
Sera ya Taifa ya TEHAMA ya mwaka 2003, pamoja na mambo mengine inasisitiza juu ya Serikali kutumia fursa za TEHAMA katika utendaji kazi wa kila siku na utoaji huduma kwa wananchi. Katika kutekeleza sera hiyo, mwaka 2004 Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma (OR-MUU) ilianza kuchukua hatua mbalimbali …
Soma zaidi »