NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE

2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Washiriki wa mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii kwa Nchi 16 za Jumuiya ya Wanachama wa SADC unaojadili kuhusu Mkakati wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi wa Bluu, Misitu, Utalii, Wanyamapori pamoja na hifadhi ya Utunzaji wa Mazingira kwa Nchi Wanachama wa SADC. Baada ya kufungua Mkutano huo leo Octoba 25,2019 katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha.
3-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wanaosimamia Sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii kwa Nchi 16 za Jumuiya ya Wanachama wa Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC unaojadili kuhusu Mkakati wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi wa Bluu, Misitu, Utalii, Wanyamapori pamoja na hifadhi ya Utunzaji wa Mazingira kwa Nchi Wanachama wa SADC. Mkutano huo umefunguliwa leo Octoba 25,2019 katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha.
  • Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa 39 wa wakuu wa Nchi za SADC uliofanyika Agosti 2019,  kwa pamoja walipitisha azimio la kuifanya tarehe 25/10/2019 iwe ni siku ambayo nchi wanachanama wa SADC watapasa sauti kulaani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na jumuiya za kimataifa kwa nchi ya Zimbabwe.
4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wanaosimamia Sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii kwa Nchi 16 za Jumuiya ya Wanachama wa Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC unaojadili kuhusu Mkakati wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi wa Bluu, Misitu, Utalii, Wanyamapori pamoja na hifadhi ya Utunzaji wa Mazingira kwa Nchi Wanachama wa SADC. Mkutano huo umefunguliwa leo Octoba 25,2019 katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha.
  • “kwa upande wetu Tanzania tuna adhimisha siku hii  kwa Kongamano  Maalumu linalofanyika pale Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam chini ya kauli mbiu  isemayo VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA HATMA YA AFRIKA:UZOEFU WA ZIMBABWE ni matumaini yangu kwa wanajumuiya wenzetu nanyi mmeandaa namna ya  kutekeleza azimio hili katika Nchi zenu  ili kuimarisha mshikamano wetu” alisema Makamu wa Rais
5-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wanaosimamia Sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii kwa Nchi 16 za Jumuiya ya Wanachama wa Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC unaojadili kuhusu Mkakati wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi wa Bluu, Misitu, Utalii, Wanyamapori pamoja na hifadhi ya Utunzaji wa Mazingira kwa Nchi Wanachama wa SADC. Mkutano huo umefunguliwa leo Octoba 25,2019 katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha.
6-01
Mawaziri pamoja na Baadhi ya Washiriki wa mkutano wa Mawaziri wa Sekta ya Mazingira, Maliasili na Utalii kwa Nchi 16 za Jumuiya ya Wanachama wa SADC unaojadili kuhusu Mkakati wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uchumi wa Bluu, Misitu, Utalii, Wanyamapori pamoja na hifadhi ya Utunzaji wa Mazingira kwa Nchi Wanachama wa SADC. wakimsikilioza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokua akifungua Mkutano huo leo Octoba 25,2019 katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha.
7-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *