WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA URUSI VLADIMIR PUTIN Matokeo ChanyA+ October 24, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu Acha maoni 1,172 Imeonekana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa ya Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa urusi, Vladimir Putin kabla ya kuanza kwa Mkutano baina ya Urusi na Afrika unaofanyika, Sochi nchini Urusi, Oktoba 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest