MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI AIPONGEZA SERIKALI KWA KUJENGA RELI YA KISASA KWA FEDHA ZAKE ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe amefanya ziara fupi kuona Mradi mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa – SGR kipande cha Dar es Salaam – Morogoro Agosti 22, 2019. Katika ziara hiyo Bi. Anne alipata fursa ya kutembelea Stesheni ya reli ya kisasa …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI ABAINISHA MKAKATI WA KUNUSURU UKOSEFU WA UMEME ULIOTOKEA KAGERA
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema serikali inatekeleza miradi kadhaa inayolenga kuunganisha umeme wa gridi ya taifa kwa baadhi ya wilaya za Mkoa wa Kagera ambazo kwa sasa zinapata huduma ya umeme kutoka Uganda, ili kuzinusuru na adha iliyojitokeza hivi karibuni ya ukosefu wa umeme kwa takribani siku tatu. …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA KATIKA NCHI MBALIMBALI
MAGARI YANAYOTUMIA GESI YAONGEZEKA NCHINI
Serikali imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari nchini yamezidi kukua ambapo kwa sasa idadi imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo, mwaka 2017. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio, jijini Dodoma, leo Agosti 21, 2019 wakati …
Soma zaidi »TANZANIA KUNUFAIKA NA DOLA BILIONI 1.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA
Uhusiano wa Benki ya Dunia na Serikali ya Tanzania umeimarika baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayesimamia nchi 22 zilizoko Kanda ya Afrika, Bi. Anne Kabagambe, kumhakikishia Waziri wa Fedha na Mipango kuwa Benki hiyo iko tayari kutoa kwa Tanzania fedha zote za mkopo wa masharti nafuu kiasi cha …
Soma zaidi »TANZANIA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI – RC NDIKILO
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo ,amesisitiza kwamba, Tanzania hususan mkoani Pwani ni salama kwa uwekezaji na amekemea propaganda na uvumi unaoenezwa na baadhi ya watu wasiolitakia mema Taifa kuwa hakuna uwekezaji unaoendelezwa. Aidha amewaasa ,wawekezaji na wenye viwanda kuhakikisha wanasajili namba za utambulisho ya mlipa kodi (TIN …
Soma zaidi »NCHI 60 KUSHIRIKI MAONYESHO YA UTALII TANZANIA
Zikiwa zimebaki siku 57 kufikia Tamasha kubwa la utalii hapa Nchini linalofahamika kama “Swahili International Tourism Expo” , Bodi ya utalii Tanzania TTB imethibitisha kuwa imejipanga vema kuwapokea wageni toka nchi 60 watakaoshiriki Tamasha hilo. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo , Mkurugenzi wa Bodi ya …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI MWIKA KUSINI UTAKAOHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 19,000
MITAMBO YA KUNYANYULIA MIZIGO YA UJENZI WA MRADI WA JN HPP YAZINDULIWA RASMI FUGA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.Atashasta Nditiye amazindua Rasmi Vifaa vya Kunyanyulia Makontena ya Mizigo na Vifaa vizito vya utekelezaji wa ujenzi wa Mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JN HPP). Akizungumza jana katika stesheni ya fuga, Waziri Nditiye alisema kuwa Serikali imenunua vifaa …
Soma zaidi »