Tanki la majiNaibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akikagua tanki la maji Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) azindua Mradi wa Maji wa Mwika Kusini katika Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro utakaohudumia wakazi zaidi ya 19,000 katika vijiji vya Matala, Kondeni na Mawanjeni utakaogharimu kiasi cha Shilingi milioni 726.