Wizara ya Maji imelipa jumla ya Shilingi 1,913,832,491 ikiwa ni fidia kwa wananchi waliokuwa na makazi kando kando ya Bonde la Mto Ruhila ambalo ni chanzo cha maji cha Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA). Wananchi hao wamekuwa wakifuatilia malipo yao kwa miaka 15 iliyopita tangu mwaka …
Soma zaidi »SERIKALI KUWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU UN
Katika kutekeleza ajenda za Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s), Serikali imejipanga kuwasilisha Taarifa ya Mapitio ya Hiari (VNR) katika Jukwaa la Siasa la Umoja wa Mataifa (HLPF) mwezi Julai mwaka huu mjini Newyork nchini Marekani. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera), Bw. Adolf Ndunguru wakati …
Soma zaidi »TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA WATU WANAOAMINI UMILIKI WA ARDHI NA MAKAZI UKO SALAMA
Tanzania imeshika nafasi ya nne kati ya nchi tisa za Kusini na Mashariki mwa Afrika zilizofanyiwa utafiti kwa kuwa na asilimia 64 ya watu wanaoamini kuwa hali ya umiliki wa ardhi na makazi ni salama. Hayo yalibainika wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Msingi kuhusu Haki …
Soma zaidi »TUONGEZE JUHUDI KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA – RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE
Rais Mstaafu, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi yake kama mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End malaria Council) alialikwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha 20 cha mawaziri wa afya wa shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika magharibi – ECOWAS. Kikao hicho kiliendeshwa chini ya chombo maalum …
Soma zaidi »JUMUIA ZA KIMATAIFA ZAHAKIKISHIWA KUIMARISHWA KWA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI,KUKUZA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU
Waziri wa Mambo ya Nje Pro. Palamagamba Kabudi ameihakikishia jumuia za kimataifa kuwa Tanzania itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ambao umejikita katika misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kukuza demokrasia na haki za binadamu kwa mujibu na muktadha wa nchini. Pro. Kabudi ameyasema hayo jijini Dar …
Soma zaidi »MADAKTARI NA WAUGUZI KUPATIWA FURSA ZAIDI YA MAFUNZO KATIKA FANI YA UBONGO NA MISHIPA NCHINI CHINA
WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1,000 KUTOKA ISRAEL
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi huko kwao. Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao. Watalii hao ni miongoni mwa watalii …
Soma zaidi »TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU NA USAFIRISHAJI
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Isack Kamwele yupo Beijing Nchini China kuhudhuria Mkutano wa Pili wa One Belt, One Road, Mkutano huo amboa umeandaliwa na Rais wa China Mhe Xi Jinping na kuudhuriwa na viongozi kutoka nchi zaidi ya 100 na mashirika ya kimataifa Mkutano huo pia umeudhuriwa …
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA RAIS MAGUFULI MALAWI
• Akizindua soko la tumbaku
Soma zaidi »HIFADHI YA NGORONGORO KUENDELEA KUVUTIA WATALII ZAIDI – DKT.MANONGI
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika pato la Taifa na kuchochea ustawi wa wananchi. Hayo yamesemwa na Mhifadhi mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Fredy Manongi wakati wa kipindi cha ‘TUNATEKELEZA’ ambapo alieleza kuwa dhamira ya …
Soma zaidi »