RAIS MAGUFULI ATEKELEZA NDOTO YA BABA WA TAIFA KWA KUZINDUA MJI WA SERIKALI
RAIS DKT. MAGUFULI AMEFUNGUA MAJENGO YA IKULU CHAMWINO
LIVE:HAFLA YA UZINDUZI WA MJI MPYA WA SERIKALI IHUMWA,DODOMA
LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA MWL.NYERERE
LIVE CATCH UP:HITIMISHO LA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON NA MWENYEKITI WA KAMATI TENDAJI YA CPA
HEKARI 127,859 ZIMETENGWA KWA AJILI YA VIWANDA – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ili kutimiza azma ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 kupitia sekta ya viwanda, jumla ya ekari 127,859 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya viwanda. Vilevile, Waziri Mkuu amesema Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka za upangaji za Halmashauri za Wilaya za Kibaha na Kilosa, imetenga …
Soma zaidi »MAPENDEKEZO BAJETI YA SERIKALI 2019/2020 KUZINGATIA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapendekezo ya Bajeti ya Serikali yanazingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa sanjari na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi. Amesema hayo Bunge jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za Ofisi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KITAIFA MKOANI SONGWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutumia mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2019 kumkumbuka Baba wa Taifa kwa kupinga vitendo vya dhulma, ufisadi, rushwa, maradhi, chuki, dharau na kuwataka kuenzi …
Soma zaidi »