RAIS DKT. MAGUFULI AMEFUNGUA MAJENGO YA IKULU CHAMWINO

RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
RAIS
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba kuashiria Ufunguzi rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua majengo mapya ya Ikulu Chamwino akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba pamoja na Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akielezea kuhusu mradi wa ujenzi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino huku akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba, mara baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *