Waziri Mkuu

RAIS MAGUFULI AFANYA KIKAO CHA KAZI NA RC, RAS, DC, DAS NA DED WOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Magufuli amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao. Mhe. Rais …

Soma zaidi »

SERIKALI YAIPONGEZA TOTAL KWA KUWEKEZA BILIONI 460

Yasaidia wajasiriamali wadogo kwa kuwatengea sh. milioni 200 kila mwaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza kampuni ya TOTAL Tanzania kwa kuwekeza hapa nchini mtaji wa dola za Marekani milioni 200 (sawa na sh. bilioni 460) ndani ya miaka mitatu. Alitoa pongezi hizo  (Alhamisi, Mei 9, 2019) kwenye sherehe za kutimiza …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA KISASA YA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zinazofanya uhakiki na upimaji bidhaa nchini zijirekebishe na ziongeze kasi ya utoaji matokeo kwa wateja. “Kumekuwa na malalamiko kutoka mipakani juu ya bidhaa zinazochukuliwa ili zikapimwe kwamba zinachukua muda mrefu. Punguzeni urasmi huo ili kufanya sekta ya biashara iweze kwenda kwa haraka zaidi. Tume …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AAGIZA MABANGO YA UTALII YAWEKWE KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa bodi ya KADCO uhakikishe unaweka mabango ya kielektroniki yenye kuonesha vivutio vya utalii kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). “KADCO na Wizara ya Maliasili na Utalii, shirikianeni kuweka utaratibu wa kutangaza vivutio vyetu vya utalii hasa wanyama kwenye viwanja vyote vya ndege. …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWAAGA WATALII 1,000 KUTOKA ISRAEL

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watalii kutoka Israel wakawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania pindi wakirudi huko kwao. Ametoa wito huo leo mchana (Jumamosi, Aprili 27, 2019) kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) wakati akiwaaga watalii 274 walioondoka nchini leo mchana kurejea kwao. Watalii hao ni miongoni mwa watalii …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA OFISI MPYA ZA WIZARA YA NISHATI, MTUMBA, DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ofisi mpya za Wizara ya Nishati na Wizara nyingine zilizopo Mtumba jijini Dodoma ili kuona kama lengo la Serikali la kutoa huduma kwa wananchi katika eneo hilo limefanikiwa. Waziri Mkuu alifanya ziara hiyo tarehe 23 Aprili, …

Soma zaidi »