NA WAMJW- KILIMANJARO Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameagiza ndani ya miezi sita (6) Waganga Wakuu wote wa mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga wafawidhi wa hospitali zote nchini kuongeza kasi katika kupunguza zaidi vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma na usimamizi katika maeneo yao. …
Soma zaidi »TUFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI – DKT GRACE MAGEMBE
Na WAMJW- ARUSHA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya wote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana baina yao na viongozi wao ili kuboresha huduma za afya nchini. Dkt. Grace, ametoa wito huo wakati alipofanya …
Soma zaidi »WANANCHI WAMESHAURIWA KUJENGA TABIA YA KUPIMA AFYA ZAO MARA KWA MARA
Wananchi wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara kwa kufanya hivyo watatambua kama wana maradhi au la na kama wana maradhi wataweza kupata huduma za matibabu kwa wakati. Pia wameombwa kuwa na bima ya afya ambazo zitawasaidia kupata matibabu pindi watakapouguwa kwani maradhi huja muda wowote, wakati …
Soma zaidi »TANZANIA KUWA NA VIWANDA VISIVYOPUNGUA 30 VYA DAWA NA VIFAA TIBA,VIWANDA 14 VIKO TAYARI
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Bw.Adam Fimbo akizungumza jambo wakati wa kufunga kikao kazi cha Wahariri na Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro kilichofanyika mkoani Morogoro kilichoandaliwa na TMDA. Tanzania katika kuhakikisha inatimiza azma ya kuwa nchi ya viwanda na …
Soma zaidi »NGOs ZAKUMBUSHWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI
Na Mwandishi Wetu Iringa Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) imeyataka Mashirika hayo kuwasilisha taarifa za kila robo mwaka zinazoonesha fedha na kazi wanazozifanya kwa Msajili ili aweze kujua miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yalipo Mashirika hayo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya msajili …
Soma zaidi »KULINDA AFYA KWA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA, ULAJI UNAOFAA, KUFANYA MAZOEZI – PROF. JANABI
Kulinda afya kwa kuzingatia mtindo bora wa maisha, ulaji unaofaa, kufanya mazoezi, kuchunguza afya mara kwa mara na kuepukana na mtindo usiofaa wa maisha, ni siri pekee itakayowawezesha Watanzania kufurahia ‘matunda’ Tanzania kuingia nchi zenye Uchumi wa Kati. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo …
Soma zaidi »“KUTOA HUDUMA ZA AFYA ZA UHAKIKA NI JUKUMU LETU”- PROF. MAKUBI
Na. WAMJW-Dodoma Serikali imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji na uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya za uhakika na wakati. Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakati akifungua kikao kati ya Wizara ya …
Soma zaidi »TAASISI YA BENJAMINI MKAPA (BMF) YAAJIRI WATU 575
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru akizungumza na na baadhi wataalamu wa afya waliopata ajira ya muda kupitia taasisi ya Benjamin Mkapa Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia ufadhili wa mashirika ya Maendeleo ya Irish Aid, UKAID-DFID na UNFPA, imeajiri watumishi wa kada mbalimbali za afya 575 …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MTWARA
Na. WAJMW – Mtwara Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mikoa ya kusini iliyopo mkoani Mtwara na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali hiyo. Waziri Ummy ameonekana kuridhidhishwa na ujenzi wa Hospitali hiyo ambao …
Soma zaidi »PROF. MAKUBI AIPONGEZA TMDA KUZINDUA TOLEO JIPYA LA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA
NA ANDREW CHALE, DAR ES SALAAM. Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Abel Makubi amepongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), kwa kuzindua mpango mpya wa Huduma kwa Wateja ambao unaongeza ufanisi katika shughuli zake za kila siku baina ya taasisi na wateja wake. Prof. Makubi amesema hayo jana 29 …
Soma zaidi »