Waajiriwa wapya katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wametakiwa kuwajibika na kuchapa kazi kwa bidii ili kuendeleza juhudi za kuokoa maisha ya watu wanaokabiliwa na magonjwa ya moyo wanaofika kupata matibabu katika taasisi hiyo.Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi alipokuwa akizungumza na waajiriwa wapya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MAABARA YA TAIFA YA AFYA YA JAMII NA KUBAINI MAPUNGUFU MBALIMBALI
Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binaadam (NIMR) jijini Dar es Salaam na kubaini mapungufu mbalimbali ya kiutendaji yaliyokuwepo katika maabara hiyo.Akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo leo jijini Dar es Salaam, Waziri …
Soma zaidi »SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WAKAZI WA KATA YA SUNYA
NA SAKINA ABDULMASOUD,KITETO. “Siku moja nilimshuhudia mama mmoja alikuwa mjamzito,alianza kuumwa tukataka kumpeleka hospitali,tulihangaika usafiri kwa watu mpaka tunakuja kuupata yule mama alishahangaika sana kwa uchungu,lakini tunamshukuru Mungu tulimfikisha na alijifungua salama,”ni Sefae Zibani mkazi wa Kata ya Sunya mkoani Manyara. Mkazi huyo na wenzake wanarudisha nyuma kumbukumbu wakati wakitembea …
Soma zaidi »UJENZI WA HOSPITAL YA WILAYA YA NYAMAGANA WAFIKIA HATUA ZA MWISHO
Muonekano wa picha mbalimbali za ujenzi wa Hospital ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza unavyoendelea.
Soma zaidi »IDADI YA WAGONJWA WA CORONA IMEPUNGUA NCHINI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020. Rais Dkt. John …
Soma zaidi »WASAMARIA WEMA WAFANIKISHA MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto huyo aliyezaliwa pacha (wawili) alikuwa anakabiliwa na matatizo ya aina mbili ya moyo ikiwamo lile la tundu dogo kwenye …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AFUNGUA KITUO CHA AFYA SUNYA, KITETO MKOANI MANYARA
Na. Majid Abdulkarim , Kiteto Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo amewataka wataalam wa afya kujipanga vema katika kutoa huduma nzuri kwa wananchi ili kutimiza adhima ya Mhe.Rais ya kuwatumikia watanzania. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa ufunguzi wa kituo cha afya cha …
Soma zaidi »