MAHAKAMA KONDOA YAMALIZA MASHAURI 184 KATI YA JANUARI NA JULAI

Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Kondoa akitoa ufafanuzi juu ya maboresho ya miundombinu ya Mahakama yalivyorahisisha utoaji haki kwa wakati.

Mahakama ya wilaya ya Kondoa imesikiliza na kumaliza mashauri ya jinai na madai 184 kati ya mashauri 262 yaliyokuwepo katika Mahakama za wilaya za Kondoa na Chemba.

Akizungumza na Maafisa Habari wa Mahakama ya Tanzania, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa Mhe. Francis Robert Mhina alisema mashauri hayo yamesikilizwa na kumalizika kati ya mwezi Januari na Julai, mwaka huu.

Ad

“Mashauri yaliyobaki mwezi Desemba 2019 yalikuwa ni 152, yaliyosajiliwa kati ya Januari na Julai mwaka huu ni mashauri 110, tumesikiliza na kumaliza jumla ya mashauri 184 na kubakiwa na mashauri 78”, alifafanua Mhe. Mhina.

Kwa mujibu wa Hakimu Mfawidhi huyo, asilimia kubwa ya mashauri yanayofunguliwa kwenye Mahakama hizo ni yale yanayohusu ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji, pamoja na mauaji, kujeruhi na mashauri ya kukutwa na nyara za wanyama pori.

Alisema mashauri yanayohusu nyara za taifa hasa wanyama pori yanatokana na uwepo wa mapori tengefu ya hifadhi za Swaga swaga na Mkungunero.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kondoa akitoa rai kwa wananchi wa Kondoa kuitumia Mahakama ili kusuluhisha migogoro yao.

Na Innocent Kansha – Mahakama Kondoa

“Wananchi wengi wanaoishi kando kando ya hifadhi hizi wamekuwa wakiendesha shughuli zao mbalimbali za kiuchumi bila kuzingatia mipaka na kujikuta wanakinzana na sheria za hifadhi kama kulima ndani ya hifadhi, kuvua samaki, kuchoma mkaa, kukutwa na nyara za Taifa na kuwinda wanyama pasipo kuwa na vibali halali”, alisema Mhe. Mhina.

Mhe. Mhina alisema asilimia kubwa ya mashauri ya mauaji yanatokea Wilaya ya Chemba. Mahakama ya Wilaya ya Kondoa pia inahudumia Wilaya Chemba kwa sasa.

Kuhusu matumizi ya Tehama katika Mahakama ya wilaya ya Kondoa, Mhe. Mhina amesema yamesaidia kwa kikubwa kurahisisha suala la upatikanaji wa haki kwa wakati. Aliongeza kuwa mfumo wa kusajili mashauri (JSDS II) unatumiwa vizuri na watumishi katika kutunza kumbukumbu za kila siku za mashauri baada ya kufungiwa mkongo wa Taifa wa mawasiliano.

Naye Katibu Tawala wa Wilaya ya Kondoa Bw. Andrea Ng’hwani alisema Serikali Wilayani humo imeyapokea maboresho ya miundombinu ya Mahakama kwa furaha kwani yametatua changamoto na kero za wananchi wa Kondoa kwa kiasi kikubwa.

“Nawakumbusha wananchi kuwa nchi hii inaongozwa kwa misingi ya kisheria na hakuna mazingira yoyote yanayoruhusu mtu kujichukulia sheria mikononi ndiyo maana kuna Jeshi la Polisi na Mahakama ili kutatua kero zao” alisisitiza Katibu Tawala.

“Kero za wananchi zimepungua sana na sasa hatupokei malalamiko yanayohusu Mahakama kiutendanji na mambo mengine yanayohusu uelewa wa taratibu za kimahakama tumekuwa mstari wa mbele kuyatolea ufafanuzi wa kuwaelekeza sehemu sahihi ya kutatua na kupata ufafanuzi”, alisema Katibu Tawala. 

Bw. Ng’hwani alisema wananchi wanapaswa kupeleka migogoro yao mahakamani ili iweze kutatuliwa kisheria na pale wanapoona hawajaridhika na maamuzi, wakate  rufaa Mahakama ya juu zaidi kupata haki ili Amani na utulivu vizidi kuimarika.

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”

“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, …

288 Maoni

  1. canadian pharmacy scam canadian drugs pharmacy www canadianonlinepharmacy

  2. online shopping pharmacy india: online shopping pharmacy india – buy medicines online in india

  3. pharmacy canadian superstore: best canadian pharmacy – canadian family pharmacy

  4. best online pharmacies in mexico: buying from online mexican pharmacy – reputable mexican pharmacies online

  5. cost of doxycycline in canada: how to get doxycycline – rx doxycycline

  6. Paxlovid buy online: п»їpaxlovid – paxlovid cost without insurance
    https://clomiddelivery.pro/# buying clomid without prescription
    doxycycline 200 mg tablets doxycycline cream doxycycline cap price

  7. https://clomiddelivery.pro/# clomid
    doxycycline 100mg price 1mg doxycycline 25mg tablets doxycycline pills cost

  8. order generic clomid prices: where to buy clomid no prescription – how to get clomid price
    https://amoxildelivery.pro/# where to buy amoxicillin over the counter

  9. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  10. http://ciprodelivery.pro/# cipro pharmacy
    buy cipro antibiotics cipro buy ciprofloxacin over the counter

  11. Paxlovid over the counter: п»їpaxlovid – paxlovid pharmacy
    https://clomiddelivery.pro/# order cheap clomid without rx
    amoxicillin medicine over the counter amoxicillin 500mg no prescription amoxicillin 500 mg purchase without prescription

  12. buy generic ciprofloxacin: buy cipro cheap – ciprofloxacin 500 mg tablet price

  13. amoxicillin capsules 250mg: cheap amoxicillin 500mg – amoxicillin 500
    https://amoxildelivery.pro/# amoxicillin 50 mg tablets

  14. https://amoxildelivery.pro/# can you buy amoxicillin over the counter canada

  15. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  16. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  17. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  18. http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid pharmacy
    ciprofloxacin buy cipro cheap ciprofloxacin generic

  19. amoxicillin 825 mg: over the counter amoxicillin canada – can i buy amoxicillin over the counter
    https://ciprodelivery.pro/# buy cipro cheap
    doxycycline 150 mg price doxycycline 200 doxycycline 100mg price south africa

  20. https://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin over the counter

  21. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  22. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  23. paxlovid cost without insurance: paxlovid pill – п»їpaxlovid
    https://doxycyclinedelivery.pro/# price doxycycline

  24. ciprofloxacin order online: ciprofloxacin 500mg buy online – cipro pharmacy

  25. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  26. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  27. http://ciprodelivery.pro/# ciprofloxacin 500 mg tablet price
    cipro for sale buy cipro online without prescription buy ciprofloxacin over the counter

  28. buy cipro online: buy cipro cheap – cipro online no prescription in the usa
    http://amoxildelivery.pro/# how much is amoxicillin prescription
    how to buy amoxicillin online amoxicillin 500mg capsule where can you get amoxicillin

  29. paxlovid india: paxlovid for sale – paxlovid generic
    http://clomiddelivery.pro/# where can i get cheap clomid no prescription

  30. how to get amoxicillin over the counter: buy amoxicillin 500mg capsules uk – amoxicillin pharmacy price

  31. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  32. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  33. https://clomiddelivery.pro/# how to buy generic clomid
    can we buy amoxcillin 500mg on ebay without prescription cost of amoxicillin prescription amoxicillin price without insurance

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *