BENKI YA DUNIA YARIDHIA MKOPO WENYE MASHARTI NAFUU WA DOLA MILIONI 450

tasaf

  • Bodi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 450, sawa na shilingi za Tanzania trilioni 1 kwa ajili ya Mradi wa kusaidia Kaya Masikini nchini Tanzania kupitia TASAF.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAKAZI WA PEMBEZONI MWA BAHARI WAELIMISHWA ATHARI ZA MAGENDO

Wakazi na wafanyabiashara waishio pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi katika kata za Somangila, …

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.