Recent Posts

CHUO CHA MADINI KUWA SEHEMU YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Picha ya pamoja ya kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Nzega (kushoto), VIongozi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam (katikati) na wafanyakazi wa Wizara ya Madini (kulia) wakisikiliza wakati wa hafla ya kukabidhi Chuo cha Madini (MRI) kulelewa na UDSM katika hafla iliyofanyika Agosti 19, 2020 Kampasi ya …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 15.2

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (katikati), akipokea mfano wa hundi kwa niaba ya Serikali yenye thamani ya Sh. Bilioni 15.2 ikiwa ni gawio kutoka kwa Benki ya NMB, wa pili kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAUNDA TIMU MAALUM KUMSIMAMIA MKANDARASI WA REA KILIMANJARO

Veronica Simba – Kilimanjaro Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameunda Timu maalumu inayojumuisha wataalamu mbalimbali wa Serikali ili kumsimamia Mkandarasi anayetekeleza miradi ya umeme vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Alitangaza uamuzi huo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kitongoji cha Kambi ya Nyuki, wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Agosti …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: WATANZANIA TUBADILIKE, TUJIVUNIE VYETU

Akagua mradi wa kiwanda cha sukari na shamba la miwa Bagamoyo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wabadilike na wajifunze kujivunia kilicho chao. “Lazima tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo, tukisemee kitu chetu, tujivunie kitu chetu na tujivunie ujuzi tulionao,” amesema. Ametoa wito huo (Jumanne Agosti 18, 2020) wakati akizungumza na viongozi …

Soma zaidi »

KUWENI WABUNIFU MUWEZE KUJIAJIRI – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wanaohitimu masomo nchini wasikae majumbani na badala yake watumie elimu yao kubuni namna ya kujiajiri. “Lazima tubadilike ili wahitimu wasisubiri kazi za masomo. Ukimaliza masomo, tumia ujuzi wako kuona unaweza vipi kujiajiri,” alisema. Ametoa wito huo jana jioni (Jumatatu, Agosti 17, 2020) wakati akizungumza …

Soma zaidi »