Recent Posts

MAKAMU WA RAIS SAMIA AHITIMISHA MAONESHO YA WAKIZIMKAZI MWAKA 2020

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya Mkoba wa Ukili unaotengenezwa kwa kutumia wa kindu na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Mabanda ya maonesho ya Sherehe ya siku ya Wakizimkazi yanayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa …

Soma zaidi »

MAENEO YANAYOTENGWA KWA UWEKEZAJI YAPIMWE -NAIBU WAZIRI MABULA

Na Munir Shemweta, WANMM BUKOMBE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza idara za ardhi kwenye halmashauri kuhakikisha maeneo yanayotengwa kwa ajili ya shughuli za uwekezaji yanapimwa  sambamba na kuwa na mpango wa matumizi bora ardhi katika vijiji. Dkt Mabula alisema hayo jana wilayani …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: TAKUKURU HAKIKISHENI WATANZANIA HAWARUBUNIWI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao wa kisiasa kuchagua viongozi bora. “Sote tunatambua kuwa Oktoba, mwaka huu Taifa letu litaendesha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani… mna jukumu zito la kuhakikisha Watanzania hawarubuniwi na …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEENDELEA KUWEKA MIKAKATI ENDELEVU YA KUWAWEZESHA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAVUNDE

Serikali imeendelea kuweka mikakati endelevu ya kuwawezesha vijana nchini kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali ili kuendelea uchumi wa Taifa. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Vijana …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KITUO CHA RADIO JAMII ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Mboga aina ya Kisamvu inayotengenezwa na Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Unguja Wakati wa Uzinduzi  wa Kituo cha Redio Jamii Kati FM katika Kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na Mradi wa …

Soma zaidi »

WATOA HUDUMA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI KWA KUZINGATIA MAADILI

NA WAMJW- MANYARA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya nchini kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia maadili wakati wa kumhudumia mgonjwa. Dkt. Grace Magembe ametoa rai hiyo leo, wakati alipofanya ziara ya kukagua …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA AKAGUA KIWANDA CHA TBL MBEYA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akipata maelezo ya shughuli za uendeshaji wa Kiwanda cha Bia Mbeya kutoka kwa Bw. Emmanuel Sawe Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho. Kushoto ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi …

Soma zaidi »