Recent Posts

WATANZANIA JITOKEZENI KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA UTALII

Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kuwekeza katika biashara ya Utalii kwa kuwa masharti ya kuwekeza katika biashara hiyo yamerahisishwa tangu Serikali ya Awamu ya tano ilipoingia madarakani. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati …

Soma zaidi »

MAWASILIANO YAREJESHWA MTO RAU

Na. Bebi Kapenya, Kilimanjaro. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimbali nchini yaliyoathiriwa na mvua zilizosababisha athari kubwa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madaraja. Wakala umejenga daraja la muda la Chuma la Mto Rau Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada …

Soma zaidi »

KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU MBIONI KUANZA JIJINI DODOMA

Na Tito Mselem Dodoma, Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, amefanya ziara ya kikazi katika Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu ( Refinery)   cha Eyes Of Africa Ltd kilichopo katika eneo la Area D pembezoni mwa Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma. Ziara hiyo yenye lengo la kukagua hatua …

Soma zaidi »

TANESCO WAPEWA SIKU TANO KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WA KIDAHWE

Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidahwe,kata ya Kidahwe Wilaya ya Kigoma vijiji, Mkoani Kigoma,wakati akiwa kwenye uzinduzi wa kuanza malipo kwa wananchi ambao wameridhia kutoa ardhi yao kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Kupoza umeme cha Kidahwe. Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ametoa siku …

Soma zaidi »