Recent Posts

MKANDARASI ANAYESAMBAZA UMEME KIBONDO ATAKIWA KUONGEZA KASI

Naibu Waziri wa Nishati,Subira Mgalu,amesema haridhishwi na kasi ya usambazaji wa umeme vijijini inayofanywa na  mkandarasi wa Kampuni ya  Urban and Rural Engineering Services, wilayani Kibondo mkoani Kigoma. Mgalu ametoa kauli hiyo,kwenye mkutano na wananchi  wakati  alipofanya  ziara ya kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme vijijini wilayani humo  na kuwasha …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA MILIONI 700 KUSAIDIA KAZI WABUNIFU NCHINI

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema Serikali kupitia Tume ya Tafa ya Sayansi na Teknolojia ( COSTECH) imetoa kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa wabunifu 60 ili kuendeleza tafiti na bunifu zao na kuleta tija na manufaa kwa Taifa. Akizungumza leo Jumatano (Julai 10, 2019) …

Soma zaidi »

ALIYELAZWA MWAKA MMOJA MLOGANZILA APATIWA MASHINE YA KUPUMUA

Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, imempatia msaada wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) Bw. Hamad Awadhi kutokana na matatizo yake ya afya ambayo yanamlazimu kutumia mashine ya oxygen muda wote ili aweze kupumua. Akikabidhi msaada huo Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-MNH-Prof. Charles Majinge amesema …

Soma zaidi »

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA KUIPANDISHA DARAJA TANZANIA

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inatarajia kuipandisha daraja Tanzania kutoka katika hadhi ya kunufaika na Mfuko wa Maendeleo wa Benki (ADF) hadi kuwa na hadhi itakayoiwezesha Tanzania kuweza kupata rasilimali fedha zaidi kupitia dirisha la African Development Bank (ADB) la Benki ya Maendeleo ya Afrika. Endapo Tanzania itafanikiwa kupandishwa …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI MOJA KUTOKA TPB BANK

Hafla ya makabidhiano ya Hundi kifani ya gawio la shilingi Bilioni moja imefanyika jijini Dodoma, kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) ambaye alipokea kwa niaba ya Serikali, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo Dkt. Edmund Mndolwa. Akizungumza katika hafla hiyo Dkt. …

Soma zaidi »