MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER

SM 5-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 1-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Felix Tshisekedi wa Congo kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou wa Niger
SM 2-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiingia kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 3-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe kwenye Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou  Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 4-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 6-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania aliouongoza kushiriki mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA MIFUKO ISIYOKIDHI VIWANGO – WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *