Recent Posts

Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kwamba viongozi wanapaswa kutumia falsafa ya 4R kuongoza jamii zao licha ya tofauti zao za kisiasa, kiimani, na itikadi.

Hii ni njia ya kuhakikisha umoja, uvumilivu, maendeleo, na ustawi kwa jamii nzima. Kila kiongozi anapaswa kujitahidi kuhakikisha falsafa hizi zinatumika katika kazi zao za kila siku ili kufikia malengo ya pamoja na kuleta manufaa kwa jamii nzima. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC …

Soma zaidi »

HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA !!

Usawa Mbele ya Sheria, Rais Samia Suluhu, anasema “hakuna aliye juu ya sheria,” akisisitiza kwamba kila mtu, bila kujali cheo au nafasi yake katika jamii, anapaswa kufuata sheria za nchi. Hii inamaanisha kuwa sheria inapaswa kutekelezwa kwa usawa bila upendeleo. “hakuna Taasisi iliyo juu ya sheria,” akimaanisha kuwa hata taasisi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma. Uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchini nzima. Mikoa ambayo inaanza uboreshaji wa daftari hilo leo Julai 20, 2024 hadi …

Soma zaidi »