Recent Posts

TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA VIJANA NCHI ZA SADC

Tanzania imetajwa kuwa kati ya nchi tano ndani ya jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC ambazo zinatoa kipaumbele kwa masuala yanayohusu vijana. Hayo yameelezwa katika mkutano wa vijana toka nchi za SADC uliofanyika mjini Windhoek, Namibia kati ya tarehe 13 na 15 Disemba 2018 ambapo mkutano …

Soma zaidi »

Serikali inaheshimu haki ya kila mtu – Naibu Waziri Masauni

Serikali imewaasa wananchi kutoa taarifa za kuwepo wahamiaji wanaoishi maeneo mbalimbali  nchini kinyume na sheria  za nchi ili raia wema waweze kufanya shughuli za maendeleo kwa amani na salama huku ikiwaasa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kuwa waadilifu katika maeneo yao ya kazi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam …

Soma zaidi »

BARABARA YA MORO – DOM KUFANYIWA USANIFU ILI KUJENGWA UPYA

Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema , Serikali inatarajia kufanya usanifu wa  barabara ya Morogoro- Dodoma yenye urefu wa kilometa zipatazo 259 katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya kupata michoro na gharama halisi ili kujengwa  upya kwa   viwango  cha ubora   na mahitaji …

Soma zaidi »

UJENZI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MUSOMA WAENDELEA KWA KASI

Wakazi wa mkoa wa Mara wanatarajia kuondokana na adha ya kufuata huduma za Mahakama Kuu mkoani Mwanza, umbali wa zaidi ya kilometa 200 kutoka mjini Musoma, baada ya ujenzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Musoma kukaribia kukamilika mapema mwakani. Wakizungumza na timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Maji, Wizara ya …

Soma zaidi »