Recent Posts

#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!

• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR. • Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi. • Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu. hakika maendeleo yanaonekana… maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye …

Soma zaidi »

WANANCHI WA KJIJI CHA MUSANJA WAJITOLEA KUJENGA DARAJA

  Wananchi wa Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja wamejitolea kwa hali na mali kujenga daraja linalounganisha Vitongoji vya Kaharaga na Kukema (ilipo S/M Musanja) ili kurahisisha mawasiliano kati ya Shule na Jamii inayozunguka Shule hiyo. Ujenzi wa Daraja hilo utasaidia wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Musanja waliokuwa wanapata shida …

Soma zaidi »

AHADI: Hii hapa ahadi ya Rais Dkt Mgufuli iliyotimiA

Ikumbukwe kwamba mnamo tarehe 17 Octoba 2015 katika kampeni za uchaguzi mkuu 2015, Dk Magufuli alifanya kampeni katika jimbo la Segerea, aliwaomba wakazi wa Dar es Salaam wampatie kura Oktoba 25 ili aweze kutekeleza miradi hiyo mikubwa itakayoenda sanjari na ujenzi wa barabara za juu zitakazopunguza foleni. LEO AHADI IMETIMIA …

Soma zaidi »

GAIRO: Gairo yafaidika milioni 135 katika Elimu

Mkuu wa wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchemba akiongozana na DED na Meneja TARURA wamefanya ziara Kata ya Mandege vijiji vya Njungwa na Ikwamba. Mbali na barabara kuwa changamoto wamefanikiwa kufika katika kata hizo. Katika kuboresha miundo mbinu ya barabara tayari TARURA wameanza ujenzi wa barabara hizo. Wananchi wa …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA URITHI FESTIVAL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kwa kutambua umuhimu wa sekta ya utalii kwa uchumi wa nchi yetu, na kwamba ili kuweza kupata watalii wengi zaidi lazima kuwa na usafiri wa anga ulio na uhakika; ndiyo maana Serikali imeamua kufufua shirika letu …

Soma zaidi »