Recent Posts

MAONESHO HAYA NI FURSA MUHIMU KWA WAJASIRIAMALI – Dkt. TIZEBA

Waziri wa kilimo Dkt Charles Tizeba amewataka wajasiriamali kote nchini kuchangamkia fursa ya kutembelea katika Maonesho ya Kitaifa ya Viwanda Vidogo (SIDO), yanayofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi katika Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu. Katika maonesho hayo ambayo yalianza Oktoba 23 mwaka huu, Dkt Tizeba amesema kuwa hiyo ni …

Soma zaidi »

TANZANIA; KILELE CHA AFRIKA

#SisiNiTanzaniaMpyA+ ambayo ni kilele cha Afrika. Kinara wa ukombozi wa Afrika. Nchi ya Amani na Utulivu duniani. Nchi iliyodhamiria kupata Matokeo chanyA+ 110% katika kila Nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti wenye manufaa kwa wananchi wake wote. #MATAGA  

Soma zaidi »

TUNAFIKISHA MAJI SAFI VIJIJINI KWA 85% 2020 – MAMA SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza ahadi ya kusambaza maji mijini na vijijini ambapo mpaka ifikapo mwaka 2020 inategemea maji yatakuwa yamefika vijijini kwa asilimia 85% na mjini asilimia 90%. Makamu wa Rais ameyasema hayo …

Soma zaidi »

BANDARI ZOTE KUBWA KUFUNGWA FLOW METERS

Ni Bandari Zote Zinazopokea Mafuta ghafi nchini Katika kuhakikisha Bandari zote nchini zinafanya kazi ipasavyo kama inavyotakiwa Serikali imesema utaratibu za ufungaji wa flow meter katika bandari zote nchini ziko katika hatua za mwisho baada ya taratibu zote kukamilika. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amsema hayo wakati wa kikao …

Soma zaidi »

MATUMIZI YA GESI KUZALISHA UMEME YAOKOA USD 10.29 BILIONI

Imeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi kwa ajili ya kuzalisha umeme kutoka mwaka 2004 hadi Septemba 2018. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo …

Soma zaidi »

JK – JPM Anafanya Kazi Nzuri Sana!

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo yao Mhe. Rais Mstaafu Kikwete amesema wamekutana kwa utaratibu wa kawaida wa kusalimiana na kutakiana heri katika majukumu. “Nimekuja kumsalimia nakumtakia …

Soma zaidi »