Asilimia 90 ya mitambo inayozalisha karatasi katika kiwanda cha Mgololo ni ile iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya kwanza ya Baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere miaka ya 1980. Nimetaka maelezo kwanini haujafanyika uwekezaji mpya wa kutosha?
Soma zaidi »Recent Posts
BUNGENI: Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa.
Soma zaidi »BUNGENI: Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verhuel alipomtembelea. 10 Septemba, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Soma zaidi »Mhe. ANTONY MTAKA Ni nani? Historia yake hii hapa.
“Nimeuliza ripoti ya Wakuu wa Mikoa Tanzania wanaofanya vizuri, wakaniletea ANTHONY MTAKA ndiye Namba Moja, na Namba Mbili ni yeye. Kwa kifupi hana mfano” Mh. Rais Dr. JPM, Simiyu. Je ni nani huyu Mkuu wa Mkoa Mhe. MTAKA.. na ametokea wapi? Mheshimiwa MTAKA anajipambanua katika sifa zifuatazo:- 1. Mkuu wa …
Soma zaidi »KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto …
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli kwenye Ziara ya Uzinduzi wa Daraja la Sibiti, Mkoani Simiyu – Tarehe 10 Septemba 2018
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Ashinda Pambano la Masumbwi Birmingham Uingereza
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo (miaka 23) jumapili tarehe 08 Septemba 2018 alimshinda kwa TKO (Technical KnockOut) bondia Muingereza Sam Eggington bondia (miaka 25) Mwakinyo ambaye katika pambano hilo hakuwa anapewa nafasi ya kushinda, alionyesha umahiri wa hali ya juu na kulimaliza pambano katika round ya pili tu. Bondia huyo Mtanzania …
Soma zaidi »LIVE: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni Dodoma
LIVE: Rais Magufuli anahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa Stendi Mwanhuzi ambapo Rais Magufuli anawahutubia wananchi wa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bofya link hii ili kutazama
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI KATIKA KANISA LA PENTEKOSTE MOTOMOTO MKOANI KIGOMA ASUBUHI HII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tayari amewasili kwenye kanisa la Pentekoste Motomoto Jimbo la Tanganyika mkoani Kigoma kushuhudia kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi na Maaskofu wa Majimbo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Soma zaidi »