KIGOMA: Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu katika kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto kwani mkoa wa Kigoma umekuwa ukilima chakula kingi lakini watoto wengi wanakosa lishe bora na kuzitaka mamlaka husika kutoa elimu kwa wananchi ya umuhimu wa lishe bora.

Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *