Recent Posts

DARAJA LA MWASONGE KUUNGANISHA MISUNGWI NA NYAMAGANA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kupitia ujenzi wa Daraja la Mwasongwe lililopo Mto Nyashishi ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Meneja wa …

Soma zaidi »

TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO – RIDHIWANI KIKWETE

Na. Andrew Chale, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewashukuru na kuendelea kuwakaribisha Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha sambamba na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho (IFM) kwa kutenga muda wao na kusaidia jamii ndani ya jimbo hilo. Ridhiwani Kikwete ametoa shukrani hiyo, alipokuwa mgeni rasmi …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA KAZI YA UCHIMBUAJI TOPE DARAJA LA JANGWANI

Muonekano wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ambalo kazi ya uchimbuaji tope ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony …

Soma zaidi »

MKUU WA WILAYA MBARALI “HUWEZI KUTENGANISHA KODI NA MAENDELEO”

Na Veronica KazimotoMbarali Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Reuben Mfune amewaambia wafanyabiashara wa wilayani hapa kuwa, ni vigumu kutengenisha kodi na maendeleo kwani maendeleo ya nchi yoyote ile duniani hutegemea kodi. Ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa semina ya wafanyabiashara hao kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi …

Soma zaidi »

PROGRAMU RUNUNU YA NAPA KUNUFAISHA SEKTA MTAMBUKA

Na Faraja Mpina, WMTH Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi (National Adddressing and Postcode mobile Application-NAPA) unaoendelea kufanyika Mkoani Morogoro na timu ya wataalamu wa …

Soma zaidi »

WAZIRI AWESO AAGIZA KUKAMILISHWA KWA MRADI WA MAJI MABOKWENI

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu wakikagua maendeleo ya ujenzi wa tanki la kuhifadhi maji katika Kijiji cha Mabokweni akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja. Serikali imesema itahakisha miradi ya maji inakamilika kwa …

Soma zaidi »