Recent Posts

SERIKALI KUNUNUA TANI 90,000 ZA MAHINDI KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda akisisitiza jambo tarehe 14 Septemba 2021 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua zilizochukuliwa kuhusu ununuzi wa mahindi Mwingine pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda amesema  kwa sasa mahindi yatanunuliwa tani …

Soma zaidi »

DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU

Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na dhumuni la kuundwa kwa Wizara hiyo ni kuwatumikia wananchi kwa kutekeleza kile kilichoelekezwa kwenye Ilani ya CCM ya 2020-2025 kwa kuzisoma …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAPIGWA MSASA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeipiga msasa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwa kuipatia mafunzo maalumu yenye malengo mbalimbali hasa maslahi ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, mafunzo hayo pia yatajikita  katika masuala ya Itifaki, mawasiliano ya …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUWAPANGA WAMACHINGA

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuwapanga upya Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga, bila kutumia nguvu ili wafanye biashara zao kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (Mb) kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 49.5 KUIMARISHA SHIRIKA LA POSTA

Na Jonas Kamaleki, Dodoma  Serikali imetoa shilingi bilioni 49.5 kuimarisha Shirika la Posta na hadi sasa  vituo viwili vinavyotoa huduma za pamoja vimeshaanzishwa Dar es Salaam na Dodoma, kwa awamu hii ya kwanza mikoa 10 itafikiwa ikiwemo vituo 2 Pemba na Unguja, Awamu ya pili itafikia vituo (Mikoa) 17 na lengo …

Soma zaidi »