Recent Posts

WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU KWA WIZARA YA KILIMO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa mbolea ya YARA ili kuhakiki na kupata ithibati ya mbolea ya bure itakayogawiwa kwa wakulima wadogo nchini kupitia mpango wa Action Africa. Ametoa wito huo (Jumatano, Oktoba 7, 2020) …

Soma zaidi »

BILIONI 13 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI MKOANI GEITA

Wananchi wa vijijini mkoani Geita watanufaika na huduma ya majisafi kutoka asilimia 60 hadi kufikia asilimia 75 ifikapo mwezi Desemba, 2020 baada ya kiasi cha shilingi bilioni 13 kupangwa kukamilisha miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Geita Mhandisi Nicas …

Soma zaidi »

DKT KALEMANI AAGIZA WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME NDANI SIKU 21

Hafsa Omar-Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ametoa agizo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini( REA) pamoja na wakandarasi wote kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolipia huduma ya umeme waunganishiwe  umeme ndani ya siku 21. Alitoa agizo hilo Oktoba 5,2020 wakati akiwa kwenye ufunguzi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi waliowasilisha hati zao za utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Mhe. David William Cancar (aliyeteuliwa kuwa Balozi wa …

Soma zaidi »