Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Watendaji katika Sekta ya Utalii wabadilike na waweke mkakati wa kuitangaza mbuga ya Serengeti ili kuweza kuvutia zaidi watalii na kuitambulisha mbuga hiyo kuwa iko mkoa humo. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan …
Soma zaidi »Recent Posts
WAZIRI JAFO – ASASI ZA KIRAIA ZISHIRIKI KUHIFADHI MAZINGIRA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza wakati wa kikao maalumu cha kujadili mchango na majukumu ya Asasi zisizo ya Kiserikali katika Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 27, 2021. Waziri wa Nchi Ofisi …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. PHUMZILE MLAMBO MSAIDIZI WA KATIBU MKUU WA UN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar …
Soma zaidi »MAJALIWA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WIZARA YA FEDHA
Waziri Mkuu, Mheshimwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma zinazowakabili. Akizungumza katika Kikao Kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Kaibu Mkuu,Manaibu Katibu Wakuu na Watendaji Waandamizi wa Wizara …
Soma zaidi »TANZANIA, KENYA WAJADILI VIKWAZO VISIVYO VYA KIFORODHA
Timu ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo vya kibiasha baina ya Nchi hizo kwani vimekuwa vikiathiri biashara, mkutano wa leo Mei 26, 2021 ni maandalizi ya mkutano wa Mawaziri wa Biashara wa pande zote mbili utakaofanyika tarehe …
Soma zaidi »SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS NA IMF
Na Farida Ramadhan, WFM – Dodoma Serikali imeanza utekelezaji wa maelekezo ya kikao cha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Kimataifa (IMF), Bi. Kristalina Georgieva kilichofanyika kwa njia ya mtandao mwanzoni mwa mwezi huu ambacho pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu atheri za kiuchumu …
Soma zaidi »UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA NI KIELELEZO CHA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UGANDA
Na. Beatrice Sanga -Maelezo Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe. Samia Hassan Suluhu amesema kuwa ujenzi wa bomba la mafuta utakuza na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi za Tanzania na uganda Akihutubia katika hafla ya utiaji saini mkataba hodhi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika …
Soma zaidi »TANZANIA YASISITIZA KUWA BADO NI MWANACHAMA WA MAHAKAMA YA AFRIKA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NA WATU
Tanzania imesema bado ni mwanachama hai wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu na kwamba itaendelea kushirikiana na Mahakama hiyo pamoja na Taasisi nyingine za Utawala bora na haki za binadamu kuhakikisha haki za kila Mtanzania zinalindwa na kutetewa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI – MRADI WA JNHPP UTAANZA KUZALISHA UMEME UTAKAOTUMIKA KATIKA GRIDI YA TAIFA KUANZIA MWEZI JUNI 2022
Zuena Msuya na Henry Kilasa, Pwani Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewaeleza watanzania kuwa mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP) utaanza kuzalisha Umeme utakaotumika katika gridi ya taifa kuanzia Mwezi Juni 2022 kwa kuwa hatua ya ujenzi ya maeneo muhimu ya kuzalisha umeme yamefikia 52.8% mpaka sasa. …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA MAJIBU YA UKOSEFU WA MALIGHAFI KATIKA VIWANDA VYA KUCHAKATA SAMAKI
Na. Edward Kondela Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amewaelekeza viongozi wa viwanda vya kuchakata samaki Mkoani Mwanza kukaa na maafisa kutoka katika wizara hiyo kutafuta suluhu ya ukosefu wa malighafi ya kutosha katika viwanda vyao ili viweze kufanya kazi kwa kadri ambavyo vinatarajiwa. Naibu Waziri Ulega …
Soma zaidi »