Recent Posts

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, alipokuwa akiondoka katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma leo Mei 04,2021 kuelekea Nchini Kenya kwea Ziara ya Siku mbili. Makamu wa Rais wa …

Soma zaidi »

PROF. MKUMBO AKUTANA NA WASAFIRISHAJI,WAINGIZAJI NA WATOAJI WA MIZIGO BANDARINI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOATHIRI HALI YA BIASHARA NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kililenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wadau hao ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini.  “Serikali haifanyi …

Soma zaidi »

UKARABATI WA UZIO MNADA WA PUGU WAWEKEWA MKAKATI MAALUM

Wafanyabiashara katika Mnada wa Kimataifa wa Pugu uliopo jijini Dar es Salaam, wameiomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuendelea kutatua changamoto zilizopo katika mnada huo ili uwe na tija kwao na taifa kwa ujumla. Wakizungumza jana (12.04.2021) baada ya Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante …

Soma zaidi »

KAMPENI KAMBAMBE YA MAZINGIRA KUZINDULIWA – WAZIRI JAFO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amesema Ofisi yake inaandaa Kampeni kubwa ya Mazingira itakayoenda sambamba na mashindano katika ngazi mbalimbali ikihusisha upandaji miti, utunzaji na usafi wa mazingira kwa ujumla wake. Akizungumza wakati wa kikao kazi na Menejimenti ya Ofisi yake pamoja …

Soma zaidi »

WAKULIMA WA TUMBAKU KUPATA NEEMA KUPITIA USHIRIKA

Mradi wa Pamoja wa Wakulima wa zao la Tumbaku Tobbacco Cooperative Joint Enterprise Limited (T.C.J.E) wametakiwa kutumia mfumo wa Ununuzi wa Pamoja Bulk Procurement (B.P.S) kwa lengo la kusaidia wakulima wa Tumbaku kupitia Vyama vya Ushirika kupata pembejeo za kilimo kwa bei nafuu.Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Kilimo …

Soma zaidi »