Maktaba Kiungo: Bandari Dar es Salaam

UJENZI WA GATI NAMBA MOJA WAKAMILIKA KATIKA BANDARI YA DAR

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa  ujenzi wa  gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255. Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es …

Soma zaidi »

DKT. ABBASI – SERIKALI INAENDELEA NA MAJADILIANO BANDARI YA BAGAMOYO

Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania. Dkt. Abbasi alisema Serikali ina uwezo wa kujenga bandari nyingi na kwa kuwa Tanzania …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WAONESHA NIA YA KUITUMIA BANDARI YA TANGA

Wafanyabiashara wa Mikoa ya kanda ya Kaskazini wameonesha nia ya kuanza kutumia Bandari ya Tanga kupitisha shehena ya mizigo yao baada ya kuridhishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa utendaji wa Bandari hiyo. Wameonesha nia hiyo kwenye mkutano wa siku moja baina ya Uongozi wa mamlaka hiyo na wafanyabiashara hao …

Soma zaidi »