Kampuni kubwa ya kuzalisha saruji ya Mbeya Cement imeanza kutumia huduma za Bandari ya Kyela kwa kusafirisha tani 1,000 za makaa ya mawe. Tani hizo za makaa ya mawe zimepokelewa katika Bandari ya Kiwira leo.
Tags Bandari Dar es Salaam Matokeo ChanyA+ Mbeya Miundombinu
Unaweza kuangalia pia
MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU BANDARI YA KABWE MKOANI RUKWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85
Ujenzi wa mradi wa miundombinu katika Bandari ya Kabwe mkoani Rukwa ambao unagharimu Sh.bilioni 7.498 …